Meru businessman Mike Makarina has penned a lengthy message to Embu Governor Cecily Mbarire, urging her to refrain from getting involved in Meru County affairs. He contends that only the residents of Meru truly understand the challenges they face.

Furthermore, Makarina proceeded to convey to the Embu governor that while the Meru people hold her in high regard, the challenges they face in Meru surpass her current understanding.

 "As the governor of Embu county majirani zetu, sisi kama Wameru tunakuheshimu sana Mama Kaunti.Lakini ile mambo tunapitia hapa Meru ni zaidi ya kile unataka kufikiria mambo ya gender," Said Mike.


PHOTO | COURTESY

The businessman urged Governor Mbarire to be cautious when defending Governor Kawira because she might end up insulting her in the end. Makarina sited the

"As the governor of Embu county majirani zetu, sisi kama Wameru tunakuheshimu sana Mama Kaunti.Lakini ile mambo tunapitia hapa Meru ni zaidi ya kile unataka kufikiria mambo ya gender.

Tukipeana mfano wa viongozi wanawake hapa Meru huwa tunakutaja kama role model kwa sababu umenyenyekea kwa wananchi, viongozi wengine na kuheshimu kila mtu lakini hapa Meru karibu tukojolewe kwa kichwa na huyu mama Kawira Mwangaza na yule mwanaume anatambua na kuheshimu ni bwanake sababu ya ndevu na guitar.

Sasa mum nakuomba kwa unyenyekevu ile heshima tumekupea tafadhali wacha kuingilia mambo ya Meru tuitatue wenyewe sababu sisi ndio tunajua mahali kiatu inafinya.

Wameru wengi sana wanafanya Biashara mbalimbali Embu na tunafurahia vile unapromote hata Mmea yetu ya MIRAA na vijana wetu wanaofanya kazi huko wanakupenda na uongozi wako. Jambo ya kushangaza ni kwamba hii shida iko Meru Ilianza wakati deputy governor alinyang'anywa gari lake kwa sababu ya kuchania miraa ndani.



Huyu mama unadefend hata wewe kesho atakutusi na akudharau kwa sababu hawezi hata shika miraa vile umeshika sababu yeye ni Bishop. Kwa hivyo mambo ya Meru kabisa wachana nayo, na story ya gender pia usitaje tena kwa sababu pia wewe ni gender na haupitii yake huyu anapitia."