Tanzanian gossip queen Mange Kimambi, who currently resides in the United States and  a mother of three, expressed her heartfelt gratitude to her impressive following of 7.5 million on social media. She attributed her ability to acquire her dream car to the unwavering support of her dedicated fan base. Taking to her Facebook page, she shared an image of her cherished vehicle, accompanied by a heartfelt and extensive caption as shown below:


I love you all, all of my 7.3M million followers because today y’all got me into my dream car.

Lets me start by saying, shukrani zote kwa Allah. Pili shukurani kwenu subscribers wangu wa Mange Kimambi App. Bila nyinyi hakuna mimi. Najua kazi yangu ni very controversial ila hii kazi ndio kazi ya ndoto zangu. Na through hii kazi ndoto zangu zinakamilika.

Guys don’t let anybody tell you your dreams are stupid. Your dreams are valid. Kaa kwenye ndoto zako. Wakati naanzisha Mange Kimambi App, kuna walioniona mjinga, mshenzi etc ila mimi wala si kujali maana nilishaiona fursa kuwa hakuna kitu watanzania wanapenda zaidi ya umbea, nikatafuta njia ya kufanya umbea in a big way na sio kuposti matangazo ya nguvu za kiume and it blew up. Guys ukiiona fursa usitake ushauri wa mtu we piga hapo hapo.

Ushauri mwingine kwa wanaotaka kufollow career ya udaku. Be patient. Usiingie kwa mawazo ya kumake money immediately. Build your name, your brand your followers then baadae ndo unalipuka na kitu kikubwa. It took me over 10 years za kubuild my brand kwenyw sekta ya kukosoa serikali, siasa, umbea na chokochoko kabla sijaanzisha Mange Kimambi App. By the time naanzisha Mange Kimambi App kila mtu alikuwa anajua kazi yangu haina mashaka na watu wakakimbilia kwenye app fastaaaaa and the rest is history.

2023 Mercedes G Wagon- G550. Zero millage. Hakuna mkopo. Kazi ya mikono yangu. Alhamdullilah.

.

.

PS: Najua hii ni wiki ya Misa ila mi dada yake, naruhusiwa. Nilijiambia ntaposti picha next week ila uvumilivu ukanishinda maana I’m so excited🤣🤣🤣🤣